
Since watu hupata Job or business ideas through mesh Huleta feedback, mesh team inaeza pata wasee wamepata ideas or jobs noma thru the platform na kueka the information ili iweze kumotivate wengine. A talk from three of the best inaeza motivate (ikue kama a short video clip ikionyesha huyo jamaa akielezea venye aliapata hio job ama idea na msee alimsaidia through the platform) msee atakua na hio hamu ya kujoin juu yee pia anaeza taka job kama hawa ambao wamejengana advice. Example moja ni ....niliona a tweet kuhusu meshers na a reply from jamaa alisaidika ikanipa hio hamu ya nami pia kutaka kupata job through mesh.
0
0
0