Sinema ya Kenya inagrow though imeenda polepole compared to SA na nigeria. Kenya talanta ipo. Na ingawa hatujafika bado tukikata tamaa tutaheshimika Africa nzima