
Sio kila Online Biz owners anaeza afford graphic designer and sio kila msee ako na graphic design knowledge yet most online business huitaji marketing ikuwe na good outlook. Hapa ndio Canva comes in. Iko na so many free templetes zenye kila msee anaweza edit vile anataka and ni vey first. Here is the link https://www.canva.com
Share na sisi another hack ama trick yenye inaeza saidi biz

0
0
0