
Sio rahisi ku-stay safe in biz. Bad guys wako everywhere. Maybe uko na digital hustle, lazima u-keep off customers wana-flirt kwa DM. Maybe uko na salon, lazima u-keep supplies & cash safe. Other MESHERS wanataka kusikia kutoka kwako, what you do ku-stay safe. Record voice message yako by clicking the link below 👇
speakpipe.com/mesh

0
0
0