
Siri ya kulipa loan ni, don't wait untill siku inafaa like after 30days,,, just start by paying kidogo kidogo either daily or weekly and by the time utafaa ulipe, utakuwa either umelipa yote ama umepakisha kidogo tu coz kuweka pesa hadi a certain amount ndiyo ulipe loan na bills can be a bit tricky
0
0
0