Siri ya kutoboa kwa hustle ya smokies na mayai pasua ndio hii wadau! Unapendanga mayai pasua yenye kachumbari ya pilipili ama plain? 🤣😜 #ShujaazBiz #lindafam