
Sis hapa sote ni watu na biashara zao. Lakini utapata mtu anakuambia maneno yasio na msingi kwenye biashara yako, eti mara oh hii biz yako haitakufikisha mbali, oh tafuta kitu cha kufanya badala ya hii. I tell you do not listen to such words and don't keep such words in your mind, because the person has seen the future of your business now want to stop you by giving you negative thoughts. Just STAND STILL and don't be shaken by what you hear. #MesHers #Tujengane
0
0
0