
Sisi broke humans in the creative space hukua na shida mingi buana. Hatunanga a good client base unlike established artists. Leo utanipata doing murals and paintings in schools, kesho nafanya some portraits, kesho kutwa ndio huyo naedit some vlogs for clients, yaani anything to put food on the table. Naambiwa ati ukitaka kumantain a good brand and a good client base nafaa kunarrow down to one activity, but nakaa hivi naona ni úrímu ntalala njaa buana. Mnipee advice you guys.

0
0
0