
Sisi wafanyi biashara tuko affected in such away that hapo kitambo tulikua tunasell 24/7 whereby mauzo ilikua kibao na profit zinatutsustain kupay our bills but Now tunategemea the shortest time ambayo Ni Mchana which is so short sisi kumake more sales sioni ikisaidia yet inaumiza wanaichi was chini kwa mauzo "Sirikali saidia"
0
0
0