
sisi wenye biz za vipanda ama biz ndogondogo ni muhimu kutumia manual records. since biz yangu haijagrow sana hii manual record imenisaidia sana. i advice kwa wenye wanaanza biz watumie ledger books. ila wako na option ya kutumia electronic record keeping.
0
0
0