
#SisiNiMesh Community imenijenga so far kwa kunipea opportunity ya kukuwa among the chosen few kufanya biashara ili nijiinue kimaisha juu mm niko na mtoi mdogo na atleast naweza mprovidia pampers na other essentials enye mtoi ananeed bila kutegemea mtu yoyote na pia imenisaidia kukutana na new people na kushare new ideas on how to improve our life as young youths so that tusiwaste maisha zetu kujiinvolve na vitu hazitusaidi kama kuvuta bangi na crime.
0
0
0