
#sisinimesh Mesh imekam thru vitrue kwangu. Kwanza thru mesh nmeget encouragement most even time nadhani biz yangu ni mimi pekee na suffer losses nkilogin kwa mesh napata kuna wasee wameget challenge most n atleast wameshare n nagrab ideas kadha zenye nikiimpliment nakuta zina work fiti. Mesh imenipea opportunity nikaget ideas mpya ya venye naeza expand biashara n pia venye naeza retain na kusaka new customers. Nimeget opportunity ya kujengwa loan thru link ya mesh whicj nimeeza kuboost na kuexpand biz to a new level. Mesh imekua platform thru na naeza encourage kila msee akue active na pia tuspread the word abt mesh to help pia wasee wako huko nje. #MeshNiSisi
0
0
0