
Sjui mbona kulipa loans hua such a problem. Unaeza pata mkenya ako na the money they need to pay, lakini still inamuuma.
The secret to paying out loans, is pay out more than Ile minimum amount wamekuekea. You not only end up paying less interest, pia you get great reputation na bank yako.
Wewe ni wa kuumwa kulipa deni, ama you wanna pay as soon as you can?
0
0
0