Skills And Talents Do Pay – But Only If You Use Them Like A Business
Leo wacha tuseme ukweli. Elimu ni poa, capital ni poa, lakini kitu watu hupuuza sana ni skills na talent zao. Na hizo ndizo zimejenga hustles nyingi za nguvu.
1. Wasee tayari wanakulipwa kwa skills zao
- Fundi kinyozi anatumia skill ya haircut, anacharge one hundred or two hundred per cut, akipiga twenty heads a day that is real money.
- Carpenter anatumia talent ya design kutengeneza bed moja ya eight thousand na materials zake ziko maybe four to five thousand. Skill yake ndio profit.
- Content creator ana skill ya kuongea kwa camera, editing kidogo, brand ika notice akalipwa campaign.
Skill yenye iko ndani yako already ni “machine” ya kutengeneza pesa, lakini lazima uiiwache ifanye kazi.
2. Where does the money come from?
People do not pay you because una talent, wanakulipa kwa sababu
- Umetatua shida yao
- Umeokoa time yao
- Umefanya kitu wao hawawezi ama hawataki kufanya
Mfano - Umechora logo, umetengeneza poster, umeshona dress, umefanya makeup, umeuza sandals ziko styled vizuri.
Hapo umecombine talent na solution.
3. Jinsi ya kugeuza skill kuwa income
- Chagua skill moja kwanza
Drawing, kupika, design, kuzungumza, kuandika, kushona, tech support, kuorganise events, photography, editing, teaching, repairing… - Define shyda unatatua
- “Nasaidia watu kukata na kupangilia nywele safi”
- “Nasaidia small biz kutengeneza posters za professional”
- “Nasaidia watu campus kurecover phones na laptops”
- Tangaza kama service, si kama “talent yangu tu”
- Weka price, process, timing na examples
- Post kazi zako kwa MESH, WhatsApp status, IG, TikTok
4. Examples za simple skill to money
- Student anajua English na Kiswahili vizuri, anaandika CV na cover letter kwa two hundred or three hundred per client. Ten clients a week ni two thousand to three thousand.
- Msee ako na eye ya fashion, anachagua na kupiga picha outfits Gikosh, anauza online kwa margin. Skill yake si tu camera, ni taste.
- Mama anapika chapati bora, anasupply kwa vibanda, offices, chama. Elke chapati inabeba profit juu tayari alikuwa anajua kupika.
5. Why some talents hazilipi
Si kwa sababu hazina pesa, mara nyingi ni kwa sababu
- Hatuna consistency, tuna cheat ourselves “nikipata time nitafanya”
- Hatuna package, hatujui kui explain kama service
- Tunaogopa kucharge “watu watanicheka”
Kitu kidogo ukianza kufanya kwa malipo hata kama ni kidogo, inakuambia “skill yangu inaweza lipa”.
Meshers, leo jaribu hii exercise moja
Andika skill moja ama talent moja yako, alafu andika pembeni shida moja ya real watu ungetatua nayo. Hapo ndio starting point ya hustle mpya.
👇 Comment
Skill yako ni gani, na inaeza solve shida gani ya mtu mwingine practically?