
SKILLS KILA MSEE AKO KWA BIZ ANAFAA KU MASTER.
Kwa biz kuna time una hire professional and kuna time itabidi ukuwe the "professional". Its all in cutting cost ndio u'maximize profits. From my experience kwa biz hizi skills nime find useful and a must know.
-
Kufanya Tax returns. Ni hii iko from big biz hadi akina sisi wa SME. Kuna returns kama Income Tax; Turnover Tax, Company, VAT, Partnership, Individual etc. Most of these ziko online and a little research unaeza ji equip na knowledge ya kuzifanya.
-
Kukuwa na knowledge ya financial accounting. Journey ya hii uanza na lightweight record keeping. Hapa Mesh kuna video most zinaeza kusaidia kuanza ku gain hii knowledge. Otherwise vitu kama Profit & Loss Accounts, Sales/purchases day book, balance sheet na cashflow/ profitability ndio those useful skills unafaa kujua. Some unaeza check tutorial kadhaa pale YT kuelewa zaidi.
Kuna mesher George Kyalo mwenye unichallange sana juu nimeona akijifunza so many Tech skills hadi kuwa master at it. Learning ni endless progress. So what other skill tunafaa kujifunza? Share kwa comment ndio #Tujijenge
