
Small words zenye ukuwa ice breaker and u create relationships fiti na first time clients. Share nasi tu zijaribu. Here is a list zenye mimi utumia often and works;
- Small compliments, umepanga shop yako vifiti, jina ceeative sana ya biz ....
- Naona biz iko fiti, ndio sisi uku tukitafutia familia.
- I understand what you mean
- Inamake a lot of sense by the way
- Hii bei ni yako pekee usishow wengine. Wewe ni special lazima upate special discount.
- Incase hajabuy kitu, "No worries naelewa acha nikuvisit next time"
- Incase ame buy, na appreciate sana siku fiti hope kukuona tena soonest.
Ongezea list tuzi apply kwa biz zetu oyaaa :). Na kama nimewahi tumia on you, I meant it 😉.

0
0
0