
Smart Pro 150L Single Door Fridge – Silver (1-Year Warranty)
Fridge yenye ujazo wa 150L, simple na energy-efficient kwa matumizi ya nyumbani au ofisini. Ina shelves za kupangilia vizuri, silent operation na modern silver finish inayoendana na kitchen yoyote.
Bei: KSh 25,999 (
WAS : Ksh 38,500
✅ 150L capacity
✅ Single door, energy-saving
✅ Quiet & durable design
✅ 1-year warranty
🚚 Delivery rahisi na fast!


0
0
0