So far so good hustle yangu imekuwa ikidu poa since nipate loan ya eneza ni kaongezea stock alfu nataka advantage hii season ya game nafanya more installation za dstv