
So juzi nimepatana na rafiki yangu anaitwa Brenda. Brenda ni Food Vlogger ama YouTuber wa Kupika pale Youtube .Brenda akanishow videos zake za kupika hazipati views .Jioni nikacheki channel ya Brenda na nikapata anatumia thumbnails mbaya kwa kupost videos. Nikusuggest kuunda quality thumbnails za YouTube channel yake for every video .Guess what happened ,views za YouTube ziliongezeka ! Any YouTuber lazima akue anajua thumbnail ni nini na umuhimu wake.Thumbnail ni ile picha inakuaga kwa video ya youtube na mimi husaidia youtubera kudesign . Chanuka kama Brenda ! Chukua Design ! Cheki hii design ya Brenda .
#kitchen #food

0
0
0