
So lately nmekua nikijaribu kuresearch difference ya Adobe photoshop na Lightroom. Kaa uko na knowledge ya hii field ebu mnishow kaa niko correct wasee. Photoshop hukua na advanced features kama layers, masks, filters for retouching, compositing, na graphic design and pia hukua poa in image manipulation. Lightroom nayo unaeza edit images mob without destructing them, lighting and adjustments pia msee anaeza fanya on large batch of photos. Pia nmeona ni ngumu kufanya graphic design ukitumia lightroom.

0
0
0