
So mambo ya ID Cards zimetolewa any comrade WA first year anaeza access hizo bursary, HELB loans na Grants bila ID Card. Do you think this a nice move and Will it help kufanya wasee wengi WA join University schools or Shida iko beyond Tuition fee pekee... #Comrades #TUJENGANE


0
0
0