
So niaje MESHERS have been running TWIVA ESHOP that is an ecommerce binary shop that i created from the main TWIVA website. I've been running it nikitumia social medias na website yangu. Nikianza ilikuwa ngumu kiasi but with time I've managed to create more cash on it. This success resulted from APPLICATION OF THE FOLLOWING TIPS AND TRICKS. Check out!
1.Kupiga picha safi za products zangu. For you to sell out vizuri lazima products unapost ziwe zinaonekana vizuri na customer. Make sure resolution power ya camera yako ni legit. This obviously agitates the customers for urgeness to buy your product. 2. Make sure you've clear description of the products you're selling. Product description contains: Physical product details and features,Styles,Colors,Weights,Dimensions,,Images,Technical specifications incase ukuwe unadeal na electronics,Types of materials used in make them,How something’s produced (i.e., manufactured or handmade),origin, Pricing zake na Delivery details. 3.Huwa na provide njia mob za kufanya payments. Kwa mfano; MPESA, BANK, AIRTEL MONEY. Pia huwa na allow payments BEFORE NA AFTER DELIVERY. Hizi options usaidia kutoa doubts kwa customers. 4. Kupeana offers to customers. Huwa nahakikisha kuwa customers wale sugu wanapata offers. Huwa nafanya hivi kwa kuwapunguzia prices na hata kuwafanyia deliveries after wamefanya huge purchase 5. Pia huwa napeana option ya kureturn goods incase customer hayuko satisfied. Huwa napeana time span ya 2 days after DELIVERY. 6.Nikipost kwa social media huwa namake sure targeted persons wanafit hiyo product. Kwa kuangalia gender, age n.k 7. Huwa pia naspent more kwa kulipia google ads na kupromote posts fb,twitter nainstagram