
So the other day we asked @[Mitumba Bales] why do some people prefer Bales kutoka China or Korea over the ones kutoka Canada..
From the conversation, alisema watu wa China hukua na small bodies as compared to those kutoka Canada. Hii inamaanisha Bales za Canada ni mzito as compared to za China.
This explains why Bales za China hukua cheaper as compared to za Canada. This means pia bei ya Bales kutoka Canada hukua expe kiasi as compared to za China.
With this info, itakuhelp kuchagua bales depending na sizes za watu kwa area unaenda kuuza. I thought you should know...
0
0
0