
So this is how I started biz ya Mtush pale campus.
Since sikua na enough capital, I started with ksh 460 nikaenda tao nikabuy t-shirts camera ,nlifanyiwa ksh 110 each nikauzia comrades door to door at ksh 150-200 , ivo tu mdogo mdogo my biz grew .
From that interaction I came to know more about customers' taste and preferences,pia moving trends kwa hii side ya manguo ikanihelp kujua nilete stock aina gani next time naenda kununua.
Hey MESHers wangu wa nguvu, nadai tuchapiane kwa comments section below 👇 umejifunza nini from my personal story.
0
0
0