So, Yesterday nilikuwa na customers wengi. Customer mmoja akanunua Mwala akanipa 100/-. Mimi nami nkamrudishia balance ya 480/-😌. So jioni kufika hesabu haziingiani. Nikasema ooooh yule customer nilimpa balance ya pesa miingi! But sai nafungua shop ameniletea - nimemnunulia soda ☺️.
0
0
0