So Yesterday nilipanda gari. From tao hadi home. Nilipata Gen z mmoja kww simu na mamake alikuwa amekaa mbele na dereva. So vile niliingia tu Mamake aka shout eti " Lamech chunga sana simu isiibiwe". Niliudhika😅😅😅. Ni sawa tu
0