
š„ social lifeš§¬
š¤Social life ya msee ukuwa vital sana šÆ, hakuna kitu poa kama kukuwa na network ya friends unaeza count on siku unadai favour mahali,
š¤Na pia sometimes network yako inaeza kumess up š, so ni idea poa kukeep a good balance between the type of friends you keepšÆ
š¤kwa biz pia hizi relationship zinaeza kuwa na similar effects, So wewe kama msee wa biz hujenga aje social life yako, Kumake sure kila kitu Iko balanced bila maswara mingi āā
0
0
0