
Soko ya electronics iko juu, lakini do you need that 50-inch TV ama unajichocha tu? 😂
TVs zimekua more affordable, but do you need a huge one just because? Watu wa Nairobi wanaingia kwa trend ya buying smart TVs instead of just big TVs. Smart TVs zinakuletea Netflix, YouTube, na browsing directly! Unapenda content, si screen size! Ama wewe ni team gani wacha tujue kwa comments bana.
0
0
0