
Some of the challenges wasee wa Kinyozi huwa wanaface from customers..
- Rude customers hapa na pale: hawa ni wale customers hawajui what they want, they end up being stubborn.
- Customers with Dirty hair and dandruffs: hawa ni wale customers wanakuja na vichwa chafu alafu hawataki kulipia extra cost ya kuosha nywenye.
- Sahi kudevelop pricing strategy itakua tricky: it all depend na kucheza na place yenye uko ama mahali bizz yako iko.
Wewe kama mesher wa bizz ya kinyozi ni challenges kama gani huwa una face from customers ?

0
0
0