
Some time back I realized that am always broke yet niko na shamba ya skuma na spinach naUza daily lakini hio doh haikai kwa mfuko. So this is what I did, I had an old dormant Stanbic account from my employment days. I revived it, knowing very well hakuna branch town yetu, na sina debit card, Sasa daily natuma doh kwa hii acc na nimeweza kuSave doh poa sana. Narecomend something similar kwa watu wenye hawana discipline ya doh kama mm
0
0
0