
Some time juu ya time na stress za hustle, unaeza jipata umesahau story na mask, like I did this weeks. And juu pia makarao ni wale wale, inabidi ku improvise. Na hapa ndio niligundua kuwa hood ukiturn backwards unaeza get ka temporary mask and unafunga design ka kwa hii pic hapa. System ni #LindaFam
0
0
0