
💥Sometime back tuli-feature @Tony na @[Rose Koros] ndani ya #MESHKonnect Live. 📹 Walituchapia advise fiti sana kuhusu Biz ya Mtush!🙌🏿 Key highlights⬇️
👉🏿 Do what you love, love what you do! 👉🏿 Work hard and stay consistent! 👉🏿 Trust the process na Biz itagrow!
Skia video yote alafu utuchapie what you have learnt kwa #Biz so far. Last but not least, tupatane kesho pia ndani ya #BongeLaShow na host wetu @[Captain Ashok]
Wednesday fiti guys! Form ni #Kujijenga #SisiNiMESH
0
0
0