
Sometimes back niliamua kuventure kwa entertainment industry uko ushago, nilikua na baze ya kushow wadhii movies latest za DJ Afro Amingos pamoja na games za DSTv. Nilikua nacharge 10/-/per movie and game ilikua 30/- ama 50/- ilikua Ina depend na uzito ya game... Hi I biz ilikua inaingiza dooh mabaya Sana man.. But ilikua na challenges hapa na pale:
- Challenge ya kwanza niligongana nayo manze no ile vako ya ma relatives man.... Hapa usipo cheza kiwewe unaangushwa ka gunia ya mahindi mtuangu
- Challenge ya pili ni hawa ma sansee, anadai every time akipita unamwachia ka kitu akupige protection
- Challenge ya tatu Niki encounter ni blackout ocha ni rampant manzee kila time weather imechange stima zina zima almost half a day or siku nzima
0
0
0