
Sometimes it's good to appreciate your customers, huwa unafanyaje?
- Waambie Asante kwa kuja/ welcome again kwa sauti ya upole na tabasamu. 2.Toa punguzo maalum kwa wateja wa kudumu au wale wanaonunua kwa wingi
- Toa kitu kidogo kama pen, chapati ya bure au sample ya bidhaa mpya
- Baada ya ununuzi kadhaa, wateja wanapata kitu bure
- Weka picha yao kwenye duka (Customer of the Month) au toa shukrani kwenye mitandao ya kijamii vile hapa mesh hufanya#Meshers Hosts 🙏🙏🙏
- Wahudumie kwa heshima na haraka ni ishara bora ya kuwathamini
- Andaa siku ya wateja na uwaalike kwa mazungumzo au zawadi za shukrani
0
0
0