
Sometimes these mechanics cn be very crafty and cunning..manze me my first time owning a car nilifunzwa funzo sijawai sahau..they lied gari imeua bearings zote ...gave me a story on how it is dangerously...I had "a team of experts" 😂😂imenizunguka hapo like the 24 elders kule heaven ..oozing wisdom tu hapo..😂.uweeh. ..how lucky I was to meet such a caring lot " i thought to my self " kumbe I was being marionetted 😂😂..yaani I could be mistaken for a V.I.P flani coz every mech in tht yard aliacha job alikua anafanya akam anipe his piece of advice..enyewe coming to think about it was a v.i.p at that moment ( a very imortant puppet) coz playing and toying with my mind did they do..na Mimi huyooo nkaingia box..man walitoa bearings zote hadi cross bearings mpaka c.v joints na ball joints na bushes zikawekwa chini zote...wanaanza mahesabu...30k ikaisha na bado labour😲....wee wakachangamkia gari ikaisha within 1hr.. labour walikua caring sana coz hiyo kazi yote waliitisha 1k only wagawane wakiwa "fiftee" man nlipat na over 30k🤔 over vitu zilikua sawa coz ata sijui nkama most walirudisha zile zangu Tu.. 😂acha tu nicheke as sad as it was .after kutoka hapo i checked kwa side mirror moseh and his team of "experts" walipigana mahigh five....but walinichanua big time coz now najua ujanja yote ya mech..nakuoneaga far 18 ' na uko ukianza ujanja yako ..i have one specific mec,2 .we fix only whats important si ati nafika hapo unaaza kutafitilia mashida 3. I know my car better so am best person to know place shida iko.4.i only work with one mech at a time si ati several shouting diagnosis zao left right centre.5.only buy genuine spare parts wachana na short cuts 6.alafu hapo Kwa price wise I consult around pia nisigongwe coz kila spare parts shop wako na bei Yao ya Kwanza,ya pili then Kuna Ile real price ya hiyo spare part.7.i have a list of several mechs I call on serious issues I call and compare diagnosis zao alafu namalizia na bwana google...plus as an experienced driver you always or in most cases know shida ya gari yako iko wapi. N.b si mechs wote WAnakuaga hivyo ..wapo wazuri ,genuine and trust worthy mech out there.