
Sometimes we come across people who share amazing opportunities to us, we get excited and as a normal person unaamua kushare with your friend. Ukidhani atafurahia kama wewe, ana end up kukudiscourage.This friend si Ati atakupea job ama atakutaftia hustle, yet atakuadvise what not to do. Swali ni Utafanya nini? Sometimes we have to make decisions which we know are best for us, rafiki yako anaweza kosa kuelewa vision yako lakini ni God alikupea hiyo vision hakupea rafiki yako. Be Bold to make the right decision for yourself, kuna shughuli hazitakangi mbogi#impactlives#createmoreopportunities


0
0
0