
Specs zako ni prescription, sio za drip pekee. So mbona uzibebe kwa mfuko bila protection? Hii Asili Vault iko na sponge ndani, lock imejengwa ndani, alafu ni ndogo but clean. Design ya wenye wako na direction. #ProtectTheVision #CraftedKwaGround #AsiliCreations

0
0
0