
Spicy Friday, na hii week ni tunabonga kuhusu Cumin ama kwa lugha yetu ya swahili Kumini. Hii spice ukuwa derived from the dried seeds of the Cuminum cyminum plant, which is a member of the parsley family. Kuna wale utumia direct kama cumin seeds and wengine u prefer ikuwa cumin powder.
Cumin ukuwa a warm, earthly flavor and iko na harufu very distinctive wengi u describe kama bitter and nutty. Hii spice utumiwa kwa spice blends kama curry powder ama chilli powder. Matumizi yake ni diverse kwa so many dishes ( Grilled chicken, Burrito, Chikem curry, Pilau, Biryani, Burger) and pia stews na sauces.
Kuna wengine pia utumia kama sourse ya medicine ya kusaidi digestion, headache, respiratory infection hadi MP cramps.
Kuwa na great spicy weekend.
