Stand-out na business logo yako! Peris ame-share step by step process ya ku-make logo poa using Canva. Ni simple and fun, watch video then make logo yako tuicheki!