
Starting a business is not easy.. Nilianza biashara na capital kidogo sana sikujua nitamek even one step but I can see some progress in what I am doing. Challenge ni pesa that small business inafaa iendelee na bado ilipe rent an mahitaji mengine
0
0
0