Station Wagons ni ideal cars za wanabiashara, especially wa deliveries or doing light supplies. Kati ya hizi tatu common kwa Kenyan market, ni gani unaeza advice msee a buy na kwa nini?
- Toyota Probox
- Nissan AD/Wingroad
- Toyota Succeed

0