Stay-at-home Mums huwa na challenges mingi ikikam kwa kutafuta riziki.
Wengine wako na watoi wadogo hawawezi kuachwa.
Wengine wako na watoi wako na Special Needs, so lazima wawapatie full attention 24/7.
In between clinic visits na kulea, ni kazi gani stay-at-home mum anaweza fanya akiwa kwa nyumba ili kujimudu kimaisha?
Tupee tips hapo chini⬇️⬇️⬇️
0
0
0