Staying ahead in your finances huanza na kuwa na good bookkeeper.
Sio mtu wa ku-record transactions tu.
Ni mtu anaangalia books ziko wapi, nini inafaa kushughulikiwa, na kama numbers bado zina-tell the right story.
For me, bookkeeping week huanza Monday.
Sio kufungua QuickBooks na kuanza kusafisha transactions random.
First, nataka kujua:
Biashara iko wapi?
1️⃣ Nini imebaki kutoka last week?
Nini haikufanyika?
Kuna deadline gani inakuja?
Nini inafaa kushughulikiwa kwanza?
2️⃣ Then nasafisha records.
Record payments ambazo bado hazijaingia bank.
Categorize transactions.
Clear uncategorized items.
Reconcile M-PESA na bank where necessary.
Goal ni simple:
Usiache ka-gap kadogo ikuwe month-end headache.
3️⃣ Then naweka priorities.
Nini lazima imalizike this week?
Nini inahitaji follow-up?
Nangoja information gani?
Na nini inaweza ngoja?
Hapo sasa hauishi kwa reaction mode.
Unaanza wiki ukiwa na plan.
Na hii ndio kitu nimeappreciate about bookkeeping:
Good bookkeeping mara nyingi haionekani.
Ikiwa imefanywa vizuri, business owner hafiki month-end akiuliza,
"Jameni, pesa ilienda wapi?"
Books tayari zinamwambia story.
That's what staying ahead looks like to me.
Sio kusubiri deadline.
Sio kusubiri month-end.
Ni keeping the books moving, one week at a time. 📒
Ebu twambiane, Monday yako ya bookkeeping huanza na nini? 👇