
π₯ Stock and Bond markets π°πͺ
π€Ushawahi skia msee akisema nimenunua shares ama nimeinvest kwa treasury bonds right ?
π‘ Stocks ama bonds ukuwe investment fitie na easier to get started lakini kuna alot of noise online so ni very hard kujua the right approach kuanza hizi investment:
π‘ Stocks(owning a piece of the pie) - ukinunua shares za kampunii kama safaricom ama KCB hivi, unakuwa share holder so iyo kampunii ikimake profit unapewa share yako kama dividend na pia unaeza uzia msee mwingine shares zako any time and get back your investment π€
π‘Bonds (a fixed promise)- bonds ukuwa loans essentially, so unaeza kopesha serikali loan ama big corporation, in return wanakupea interest kwa iyo investment yako yearly na loan yako iki_mature wanakupea the principal amount uliwapea in full π
π‘ Getting started: Nairobi stock exchange can be a good start ndio ujue vile bonds na stock market u_operate , alafu unaeza tafuta a reputable broker kama HISA hivi and start your investmentπ€
π€Incase something isn't clear tushow hapo kwa comment section meshers wakusaindie kuelewa hii investment poaπ
#Happy New week meshers πππ₯

