
Stori na wifi,niliona msee amepost the idea ya kuinstall wifi kwa mtaa uko crowded alafu wanalipa through kusign in 20 bob daily... I took the idea as achallenge ikabidi nimechora plan..currently niko na station more than 7 na zinanilipa poa..bila kustruggle
0
0
0