
Story na business loans imerudisha watu wengi nyuma na wengi wako listed CRB na Sasa hawaezi pata loan from banks. Jack ako na shop kali sana na pia ni agent wa Equity bank and Co-oP skiza advise yake about things to consider before taking a business loan. Umewai jipata CRB?
#ShujaazBiz #LindaFam
0
0
0