
#story yangu Mimi hutengeza madame nywele nashuka braids ,nafanyia retouches , treatments,pedicure,manicure na pia nauza hizo braids kwa salon yangu.Hupata client sana weekends on weekdays buz huwa slow sana but I thank God so far mahali nipo ,pia hapa kwa mesh community nipata ideas mob za buz hoping nitamove to the higher levels.
0
0
0