Storytelling
Hii ni njia moja ya ku-market bidhaa kwa kupeana stori about hiyo product, au journey ya kuanzisha hiyo kampuni au jinsi hiyo product insaidia wateja.
Ukiwa unapost tu product na bei, bila kuvutia customers wako na storytelling, utapoteza attention yao
Watu hukumbuka the story behind the product kwa urahisi sana...
Example ya storytelling ⬇️
0
0
0