
#StoryYangu
Second week kukuwa kwa farm. Na like diversifying means za kumake bucks, na diversify pia zile produce na plant hii season. With 🍌's sprouting vipoa, hii week nimeanza ku prepare land ya kudo melon. So nilienda field kwa ma youths kadhaa wenye walifanya hii project last season ili ku learn 1 , 2.
Eneza nayo imecheza ka yenyewe and imecome timely. Great week MESH'ers
0
0
0