
Straight from my FB!! Tujengane na ideas 📈
Dj boyie vipi, nadai advice na guidance yako manze. Niko colle ingine Kericho, its a mid sized campus. Na soma at the same time nadai kuanza biz ya cyber coz iyo service inahitajika huku sana. So far niko na duka na PC moja na printer, bado sijapata equipments zingine ndo ishike. Nafaa kufanyaje hii biz irun vizuri man. 🤔
Tufanye ile kitu sisi hufanya...tujengane ideas hapa 😎😎
#ShujaazBiz

0
0
0